Psalms 95:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Twende mbele zake na shukrani; tumshangilie kwa nyimbo za sifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tuje mbele zake kwa shukrani, tumtukuze kwa vinanda na nyimbo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tuje mbele zake kwa shukrani, Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Twende mbele zake na shukrani; tumshangilie kwa nyimbo za sifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tuje mbele zake kwa shukrani, tumtukuze kwa vinanda na nyimbo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tuje mbele zake kwa shukrani, tumtukuze kwa vinanda na nyimbo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tuje mbele zake kwa shukrani, Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Twende mbele zake na shukrani; tumshangilie kwa nyimbo za sifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na tumtokee usoni pake na kumshukuru! Na tumshangilie na kumwimbia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tuje mbele zake kwa shukrani, Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tuende mbele yake na nyimbo za shukrani; tumushangilie kwa nyimbo za sifa.