Psalms 95:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu, ni Mungu mkuu; yeye ni Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni Mungu mkuu, mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu, Na Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu, ni Mungu mkuu; yeye ni Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa BWANA ni Mungu mkuu, mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa bwana ni Mungu mkuu, mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA ni Mungu mkuu, Na Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu, ni Mungu mkuu; yeye ni Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana ndiye Mungu aliye mkuu, ni mfalme mkuu kuliko miungu yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA ni Mungu mkuu, Na Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe ni Mungu mukubwa; yeye ni mufalme mukubwa juu ya miungu yote.