Psalms 95:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilindi vyote vya dunia vimo mikononi mwake, vilele vya milima ni vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkononi mwake mna vilindi vya dunia, na vilele vya milima ni mali yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkononi mwake zimo bonde za dunia, Hata vilele vya milima ni vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilindi vyote vya dunia vimo mikononi mwake, vilele vya milima ni vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkononi mwake mna vilindi vya dunia na vilele vya milima ni mali yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkononi mwake mna vilindi vya dunia, na vilele vya milima ni mali yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkononi mwake zimo bonde za dunia, Hata vilele vya milima ni vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilindi vyote vya dunia vimo mikononi mwake, vilele vya milima ni vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mkononi mwake vimo vilivyomo ndani ya nchi, vileleni kwa milima nako ndiko kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkononi mwake zimo bonde za dunia, Hata vilele vya milima ni vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mabonde ni katika mikono yake, vilele vya milima ni vyake.