Psalms 95:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bahari ni yake, ndiye aliyeifanya; kwa mikono yake aliiumba nchi kavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bahari ni yake, kwani ndiye aliyeifanya, na mikono yake iliumba nchi kavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bahari ni yake, ndiye aliyeifanya, Na mikono yake iliumba nchi kavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bahari ni yake, ndiye aliyeifanya; kwa mikono yake aliiumba nchi kavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bahari ni yake, kwani ndiye aliyeifanya, na mikono yake iliumba nchi kavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bahari ni yake, kwani ndiye aliifanya, na mikono yake iliumba nchi kavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bahari ni yake, ndiye aliyeifanya, Na mikono yake iliumba nchi kavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bahari ni yake, ndiye aliyeifanya; kwa mikono yake aliiumba nchi kavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bahari ni yake, maana ndiye aliyeifanya, mikono yake iliziumba nazo hizo nchi kavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bahari ni yake, ndiye aliyeifanya, Na mikono yake iliumba nchi kavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bahari ni yake, ndiye aliyeifanya; kwa mikono yake aliumba inchi kavu.