Psalms 95:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana yeye ni Mungu wetu, nasi ni watu wa kundi lake, ni kondoo wake anaowachunga. Laiti leo mngesikiliza sauti yake:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake. Mkiisikia sauti yake leo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana ndiye Mungu wetu, Na sisi tu watu wa malisho yake, Na kondoo za mkono wake. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana yeye ni Mungu wetu, nasi ni watu wa kundi lake, ni kondoo wake anaowachunga. Laiti leo mngesikiliza sauti yake:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana yeye ndiye Mungu wetu na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake. Kama mkiisikia sauti yake, leo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake. Kama mkiisikia sauti yake leo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana ndiye Mungu wetu, Na sisi tu watu wa malisho yake, Na kondoo za mkono wake. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana yeye ni Mungu wetu, nasi ni watu wa kundi lake, ni kondoo wake anaowachunga. Laiti leo mngesikiliza sauti yake:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yeye ni Mungu wetu, nasi watu wake, hutuchunga kwa kuwa kondoo waliomo mkononi mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana ndiye Mungu wetu, Na sisi tu watu wa malisho yake, Na kondoo za mkono wake. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana yeye ni Mungu wetu. Sisi ni watu wake, kondoo wanaochungwa katika malisho yake. Heri leo mungesikiliza hivi anavyosema: