Psalms 95:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msiwe wakaidi kama kule Meriba, kama walivyokuwa kule Masa jangwani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya kule Meriba, kama mlivyofanya siku ile kule Masa jangwani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifanye migumu mioyo yenu; Kama vile huko Meriba Kama siku ya Masa jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msiwe wakaidi kama kule Meriba, kama walivyokuwa kule Masa jangwani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
msiifanye migumu mioyo yenu kama mlivyofanya kule Meriba, kama mlivyofanya siku ile kule Masa jangwani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya kule Meriba, kama mlivyofanya siku ile kule Masa jangwani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifanye mioyo yenu kuwa migumu; Kama ilivyokuwa huko Meriba Kama siku ile katika Masa jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msiwe wakaidi kama kule Meriba, kama walivyokuwa kule Masa jangwani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Leo mtakapoisikia sauti yake, msiishupaze mioyo yenu, kama vilivyokuwa kule Meriba au Masa, mlipokuwa kule nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifanye migumu mioyo yenu; Kama vile huko Meriba Kama siku ya Masa jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musikuwe wagumu kama kule Meriba, kama ilivyokuwa kule Masa katika jangwa,