Psalms 95:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wazee wenu waliponijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameona mambo niliyowatendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo waliponijaribu baba zenu, Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wazee wenu waliponijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameona mambo niliyowatendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameyaona niliyoyafanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo waliponijaribu baba zenu, Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wazee wenu waliponijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameona mambo niliyowatendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, baba zenu waliponijaribu na kunipima, tena walikuwa wameyaona matendo yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo waliponijaribu baba zenu, Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
babu zenu waliponijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameona mambo niliyowatendea.