Psalms 96:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu wimbo mpya; mwimbieni Mwenyezi Mungu dunia yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Mwimbieni Bwana, nchi yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA wimbo mpya; mwimbieni BWANA dunia yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana wimbo mpya; mwimbieni bwana dunia yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Mwimbieni BWANA, nchi yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Mwimbieni Bwana wimbo mpya! Mwimbieni Bwana, nchi zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Mwimbieni BWANA, nchi yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie Yawe wimbo mupya! Mumwimbie Yawe, ninyi ulimwengu wote!