Psalms 96:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yaambieni mataifa: “Mwenyezi-Mungu anatawala! Ameuweka ulimwengu imara, hautatikisika. Atawahukumu watu kwa haki!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Semeni katika mataifa kwamba, “Mwenyezi Mungu anatawala.” Ulimwengu ameuweka imara, hauwezi kusogezwa; atawahukumu watu kwa uadilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Semeni katika mataifa, Bwana ametamalaki; Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike, Atawahukumu watu kwa adili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yaambieni mataifa: “Mwenyezi-Mungu anatawala! Ameuweka ulimwengu imara, hautatikisika. Atawahukumu watu kwa haki!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katikati ya mataifa semeni, “BWANA anatawala.” Ulimwengu ameuweka imara hauwezi kusogezwa, atawahukumu mataifa kwa uadilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katikati ya mataifa semeni, “ bwana anatawala.” Ulimwengu ameuweka imara, hauwezi kusogezwa; atawahukumu watu kwa uadilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Semeni katika mataifa, BWANA ametamalaki; Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike, Atawahukumu watu kwa adili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yaambieni mataifa: “Mwenyezi-Mungu anatawala! Ameuweka ulimwengu imara, hautatikisika. Atawahukumu watu kwa haki!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tangazeni kwa wamizimu kwamba: Bwana ni mfalme! Yeye ndiye aliyeishikiza nchi, isije kuyumbayumba, yeye ndiye atakayewaamulia watu maamuzi yanyokayo.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Semeni katika mataifa, BWANA ametamalaki; Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike, Atawahukumu watu kwa adili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muyaambie mataifa: “Yawe anatawala! Ameuweka ulimwengu imara, hautatikisika. Atahukumu mataifa kama vile inavyofaa.”