Psalms 96:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Furahini enyi mbingu na dunia! Bahari na ivume pamoja na vyote vilivyomo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; bahari na ivume, na vyote vilivyo ndani yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, Bahari na ivume na vyote viijazavyo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Furahini enyi mbingu na dunia! Bahari na ivume pamoja na vyote vilivyomo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, Bahari na ivume na vyote viijazavyo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Furahini enyi mbingu na dunia! Bahari na ivume pamoja na vyote vilivyomo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mbingu na zifurahi, nchi nayo na ipige shangwe! Hata bahari nayo yote yajaayo ndani yake na yavume!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, Bahari na ivume na vyote viijazavyo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufurahi, enyi mbingu na dunia! Bahari ivume pamoja na vyote vinavyokuwa ndani yake!