Psalms 96:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Furahini enyi mashamba na vyote vilivyomo! Ndipo miti yote misituni itaimba kwa furaha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mashamba na yashangilie, pamoja na vyote vilivyomo. Kisha miti yote ya msituni itaimba kwa furaha;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo, Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Furahini enyi mashamba na vyote vilivyomo! Ndipo miti yote misituni itaimba kwa furaha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mashamba na yashangilie, pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. Kisha miti yote ya msituni itaimba kwa furaha,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mashamba na yashangilie, pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. Kisha miti yote ya msituni itaimba kwa furaha;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo, Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Furahini enyi mashamba na vyote vilivyomo! Ndipo miti yote misituni itaimba kwa furaha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mashamba nayo yote yaliyomo na yapige vigelegele! Itakuwa, nayo miti yote ya mwituni imshangilie Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo, Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufurahi, enyi mbuga na vyote vinavyokuwa ndani yenu! Halafu miti yote ya pori itaimba kwa furaha,