Psalms 96:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mbele ya Mwenyezi-Mungu anayekuja; naam, anayekuja kuihukumu dunia. Ataihukumu dunia kwa haki, na mataifa kwa uaminifu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
itaimba mbele za Mwenyezi Mungu kwa maana anakuja, anakuja kuihukumu dunia. Ataihukumu dunia kwa haki, na mataifa katika kweli yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbele za Bwana, kwa maana anakuja, Kwa maana anakuja aihukumu nchi. Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa uaminifu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mbele ya Mwenyezi-Mungu anayekuja; naam, anayekuja kuihukumu dunia. Ataihukumu dunia kwa haki, na mataifa kwa uaminifu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vitaimba mbele za BWANA kwa maana anakuja, anakuja kuhukumu dunia. Ataihukumu dunia kwa haki na mataifa katika kweli yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
itaimba mbele za bwana kwa maana anakuja, anakuja kuihukumu dunia. Ataihukumu dunia kwa haki, na mataifa katika kweli yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbele za BWANA, kwa maana anakuja, Kwa maana anakuja aihukumu nchi. Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa uaminifu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mbele ya Mwenyezi-Mungu anayekuja; naam, anayekuja kuihukumu dunia. Ataihukumu dunia kwa haki, na mataifa kwa uaminifu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani ndiye atakayekuja kweli kuihukumu nchi, atauhukumu ulimwengu kwa wongofu, nayo makabila ya watu kwa welekevu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbele za BWANA, kwa maana anakuja, Kwa maana anakuja aihukumu nchi. Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa uaminifu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mbele ya Yawe kwa sababu anakuja. Anakuja kuhukumu dunia. Atahukumu dunia kwa haki, na mataifa kwa uaminifu wake.