Psalms 96:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana, libarikini jina lake, Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA, lisifuni jina lake, Tangazeni wokovu wake kila siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwimbieni Bwana! Likuzeni Jina lake! Utangazeni wokovu wake siku kwa siku!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA, libarikini jina lake, Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie Yawe na kusifu jina lake. Mutangaze kila siku matendo yake ya wokovu.