Psalms 96:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lisifuni jina lake tukufu; leteni tambiko na kuingia hekaluni mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpeni Mwenyezi Mungu utukufu unaostahili jina lake; leteni sadaka na mje katika nyua zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake, Leteni sadaka mkaziingie nyua zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lisifuni jina lake tukufu; leteni tambiko na kuingia hekaluni mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpeni BWANA utukufu unaostahili jina lake; leteni sadaka na mje katika nyua zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpeni bwana utukufu unaostahili jina lake; leteni sadaka na mje katika nyua zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpeni BWANA utukufu wa jina lake, Leteni sadaka, na mwingie katika nyua zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lisifuni jina lake tukufu; leteni tambiko na kuingia hekaluni mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa jina lake ni tukufu, mpeni Bwana yaliyo yake! Chukueni vipaji vya tambiko, mje kuziingia nyua zake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpeni BWANA utukufu wa jina lake, Leteni sadaka mkaziingie nyua zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumupe Yawe utukufu wa jina lake. Mulete sadaka na kuingia katika viwanja vya hekalu lake.