Psalms 96:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwabuduni Mwenyezi-Mungu katika patakatifu pake; tetemekeni mbele yake ee dunia yote!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwabuduni Mwenyezi Mungu katika uzuri wa utakatifu wake; dunia yote na itetemeke mbele zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu, Tetemekeni mbele zake, nchi yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwabuduni Mwenyezi-Mungu katika patakatifu pake; tetemekeni mbele yake ee dunia yote!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwabuduni BWANA katika uzuri wa utakatifu wake; dunia yote na itetemeke mbele zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwabuduni bwana katika uzuri wa utakatifu wake; dunia yote na itetemeke mbele zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu, Tetemekeni mbele zake, nchi yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwabuduni Mwenyezi-Mungu katika patakatifu pake; tetemekeni mbele yake ee dunia yote!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikieni Bwana na kuvaa mapambo yapasayo Patakatifu! Mkimtokea, mastuko na yawaguie, ninyi wa nchi zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu, Tetemekeni mbele zake, nchi yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwabudu Yawe katika pahali pake patakatifu; tetemeka mbele yake, ee dunia nzima!