Psalms 97:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu anatawala! Furahi, ee dunia! Furahini enyi visiwa vingi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anatawala, nchi na ifurahi, visiwa vyote vishangilie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ametamalaki, nchi na ishangilie, Visiwa vingi na vifurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu anatawala! Furahi, ee dunia! Furahini enyi visiwa vingi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anatawala, nchi na ifurahi, visiwa vyote vishangilie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anatawala, nchi na ifurahi, visiwa vyote vishangilie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ametamalaki, nchi na ishangilie, Visiwa vingi na vifurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu anatawala! Furahi, ee dunia! Furahini enyi visiwa vingi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mfalme! Nchi na zishangilie! Navyo visiwa vilivyo vingi na vifurahi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ametamalaki, nchi na ishangilie, Visiwa vingi na vifurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anatawala! Furahi, ee dunia! Mufurahi, enyi visanga vingi!