Psalms 97:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanga humwangazia mtu mwadilifu, na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nuru huangaza wenye haki na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nuru imemzukia mwenye haki, Na furaha wanyofu wa moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanga humwangazia mtu mwadilifu, na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nuru huangaza wenye haki na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nuru huangaza wenye haki na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nuru humwangazia mwenye haki, Na furaha ni kwa wanyofu wa moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanga humwangazia mtu mwadilifu, na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanga unamzukia aliye mwongofu, nayo furaha inawazukia walionyoka mioyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nuru imemzukia mwenye haki, Na furaha wanyofu wa moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwangaza unamwangazia mutu wa haki, nayo furaha ni kwa watu wenye moyo wa usawa.