Psalms 97:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Furahini kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu; mshukuruni kwa ajili ya jina lake takatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Furahini katika Mwenyezi Mungu, enyi wenye haki, lisifuni jina lake takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi wenye haki, mmfurahieni Bwana, Na kulishukuru jina lake takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Furahini kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu; mshukuruni kwa ajili ya jina lake takatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Furahini katika BWANA, ninyi mlio wenye haki, lisifuni jina lake takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Furahini katika bwana, ninyi mlio wenye haki, lisifuni jina lake takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi wenye haki, mfurahieni BWANA, Na kulishukuru jina lake takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Furahini kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu; mshukuruni kwa ajili ya jina lake takatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi waongofu, mfurahieni Bwana, mwakumbushe watu utakatifu wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi wenye haki, mmfurahieni BWANA, Na kulishukuru jina lake takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufurahi kwa sababu ya Yawe, enyi watu wa haki; mumushukuru kwa ajili ya utakatifu wake.