Psalms 97:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeme wake wauangaza ulimwengu; dunia yauona na kutetemeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeme wake wa radi humulika dunia, nchi huona na kutetemeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeme wake uliuangaza ulimwengu, Nchi ikaona ikatetemeka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeme wake wauangaza ulimwengu; dunia yauona na kutetemeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeme wake wa radi humulika dunia, nchi huona na kutetemeka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeme wake wa radi humulika dunia, nchi huona na kutetemeka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeme wake uliuangaza ulimwengu, Nchi ikaona ikatetemeka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeme wake wauangaza ulimwengu; dunia yauona na kutetemeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Meme, azipigazo, zinamulika huku nchini, nazo nchi hustuka zikiziona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeme wake uliuangaza ulimwengu, Nchi ikaona ikatetemeka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeme wake unaangaza ulimwengu; dunia inauona na kutetemeka.