Psalms 97:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Milima yayeyuka kama nta mbele ya Mwenyezi-Mungu; naam, mbele ya Bwana wa dunia yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Milima huyeyuka kama nta mbele za Mwenyezi Mungu, mbele za Bwana wa dunia yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Milima iliyeyuka kama nta mbele za Bwana, Mbele za Bwana wa dunia yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Milima yayeyuka kama nta mbele ya Mwenyezi-Mungu; naam, mbele ya Bwana wa dunia yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Milima huyeyuka kama nta mbele za BWANA, mbele za Bwana wa dunia yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Milima huyeyuka kama nta mbele za bwana, mbele za Bwana wa dunia yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Milima iliyeyuka kama nta mbele za BWANA, Mbele za Bwana wa dunia yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Milima yayeyuka kama nta mbele ya Mwenyezi-Mungu; naam, mbele ya Bwana wa dunia yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima inayeyuka kama nta mbele yake Bwana, mbele yake yeye azitawalaye nchi zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Milima iliyeyuka kama nta mbele za BWANA, Mbele za Bwana wa dunia yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Milima inayeyuka kama inta mbele ya Yawe, mbele ya Bwana wa dunia yote.