Psalms 97:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbingu zatangaza uadilifu wake; na mataifa yote yauona utukufu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbingu zinatangaza haki yake, na mataifa yote huona utukufu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbingu zimetangaza haki yake, Na watu wote wameuona utukufu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbingu zatangaza uadilifu wake; na mataifa yote yauona utukufu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbingu zinatangaza haki yake, na mataifa yote huona utukufu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbingu zinatangaza haki yake, na mataifa yote huona utukufu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbingu zimetangaza haki yake, Na watu wote wameuona utukufu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbingu zatangaza uadilifu wake; na mataifa yote yauona utukufu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbingu zinautangaza wongofu wake, nayo makabila yote ya watu huuona utukufu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu zimetangaza haki yake, Na watu wote wameuona utukufu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbingu zinatangaza haki yake; na mataifa yote yanauona utukufu wake.