Psalms 97:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wanaoabudu sanamu wanaaibishwa, naam, wote wanaojisifia miungu duni; miungu yote husujudu mbele zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote waabuduo sanamu waaibishwa, wale wajisifiao sanamu: mwabuduni yeye, enyi miungu yote!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na waaibishwe wote waabuduo sanamu, Wajivunao kwa vitu visivyofaa; Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wanaoabudu sanamu wanaaibishwa, naam, wote wanaojisifia miungu duni; miungu yote husujudu mbele zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote waabuduo sanamu waaibishwe, wale wajisifiao sanamu: mwabuduni yeye, enyi miungu yote!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote waabuduo sanamu waaibishwa, wale wajisifiao sanamu: mwabuduni yeye, enyi miungu yote!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na waaibishwe wote waabuduo sanamu, Wajivunao kwa vitu visivyofaa; Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wanaoabudu sanamu wanaaibishwa, naam, wote wanaojisifia miungu duni; miungu yote husujudu mbele zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti wapatwe na soni wote watumikiao vinyago, wajivuniao miungu iliyo ya bure; mwangukieni yeye, ninyi miungu yote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na waaibishwe wote waabuduo sanamu, Wajivunao kwa vitu visivyofaa; Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanaoabudu sanamu na kujisifia miungu ya bure wanafezeheshwa. Miungu yote inainama mbele yake.