Psalms 97:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Siyoni wanafurahi; watu wa Yuda wanashangilia, kwa sababu ya hukumu zako, ee Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sayuni husikia na kushangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako, Ee Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sayuni imesikia na kufurahi, Binti za Yuda walishangilia, Kwa sababu ya hukumu zako, Ee Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Siyoni wanafurahi; watu wa Yuda wanashangilia, kwa sababu ya hukumu zako, ee Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sayuni husikia na kushangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako, Ee BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sayuni husikia na kushangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako, Ee bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sayuni imesikia na kufurahi, Binti za Yuda walishangilia, Kwa sababu ya hukumu zako, Ee BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Siyoni wanafurahi; watu wa Yuda wanashangilia, kwa sababu ya hukumu zako, ee Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasioni wanavisikia na kufurahi, binti Yuda hukupigia vigelegele, Bwana, kwa ajili ya maamuzi yako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sayuni imesikia na kufurahi, Binti za Yuda walishangilia, Kwa sababu ya hukumu zako, Ee BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Sayuni wanasikia hayo na kufurahi; watu wa Yuda wanashangilia kwa ajili ya hukumu zako, ee Mungu.