Psalms 97:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe Mwenyezi-Mungu ni mkuu juu ya dunia yote; wewe watukuka juu ya miungu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa wewe, Ee Mwenyezi Mungu, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote; umetukuka sana juu ya miungu yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Wewe, Bwana, ndiwe Uliye juu, Juu sana kuliko nchi yote; Umetukuka sana juu ya miungu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe Mwenyezi-Mungu ni mkuu juu ya dunia yote; wewe watukuka juu ya miungu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa wewe, Ee BWANA, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote; umetukuka sana juu ya miungu yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wewe, Ee bwana, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote; umetukuka sana juu ya miungu yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Wewe, BWANA, ndiwe Uliye juu, Juu sana kuliko nchi yote; Umetukuka sana juu ya miungu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe Mwenyezi-Mungu ni mkuu juu ya dunia yote; wewe watukuka juu ya miungu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe Bwana ndiwe uliye mkuu wa ulimwengu wote, wewe unatukuka sana kuliko miungu yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Wewe, BWANA, ndiwe Uliye juu, Juu sana kuliko nchi yote; Umetukuka sana juu ya miungu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe Yawe ni mukubwa juu ya dunia yote; wewe unatukuzwa juu ya miungu yote.