Psalms 98:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ameonesha ushindi wake; ameyadhihirishia mataifa uwezo wake wa kuokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ameufanya wokovu wake ujulikane na amedhihirisha haki yake kwa mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ameonesha ushindi wake; ameyadhihirishia mataifa uwezo wake wa kuokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ameufanya wokovu wake ujulikane na amedhihirisha haki yake kwa mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ameufanya wokovu wake ujulikane na amedhihirisha haki yake kwa mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ameonesha ushindi wake; ameyadhihirishia mataifa uwezo wake wa kuokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huujulisha wokovu wake, machoni pao wamizimu huufunua wongofu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ameonyesha ushindi wake; ameonyesha wazi kwa mataifa uwezo wake wa kuokoa.