Psalms 98:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa shangwe, msifuni kwa sauti tamu za zeze.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mwimbieni Mwenyezi Mungu kwa kinubi, kwa kinubi na sauti za kuimba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi, Kwa kinubi na sauti ya zaburi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa shangwe, msifuni kwa sauti tamu za zeze.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mwimbieni BWANA kwa kinubi, kwa kinubi na sauti za kuimba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mwimbieni bwana kwa kinubi, kwa kinubi na sauti za kuimba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA sifa kwa kinubi, Kwa kinubi na sauti tamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa shangwe, msifuni kwa sauti tamu za zeze.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwimbieni Bwana na kupiga mazeze, mazeze yakizifuata sauti za nyimbo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA zaburi kwa kinubi, Kwa kinubi na sauti ya zaburi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Yawe kwa shangwe, mumusifu kwa sauti tamu za zeze.