Psalms 98:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpigieni vigelegele Mwenyezi-Mungu mfalme wetu, mshangilieni kwa tarumbeta na sauti ya baragumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa tarumbeta na mvumo wa baragumu za pembe za kondoo dume: shangilieni kwa furaha mbele za Mwenyezi Mungu, aliye Mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa panda na sauti ya baragumu. Shangilieni mbele za Mfalme, Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpigieni vigelegele Mwenyezi-Mungu mfalme wetu, mshangilieni kwa tarumbeta na sauti ya baragumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa tarumbeta na mvumo wa baragumu za pembe za kondoo dume: shangilieni kwa furaha mbele za BWANA, aliye Mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa tarumbeta na mvumo wa baragumu za pembe za kondoo dume: shangilieni kwa furaha mbele za bwana, aliye Mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa panda na sauti ya baragumu. Shangilieni mbele za Mfalme, BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpigieni vigelegele Mwenyezi-Mungu mfalme wetu, mshangilieni kwa tarumbeta na sauti ya baragumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pigeni mabaragumu yenye kulia sana mkishangilia mbele yake bwana, ya kuwa ni mfalme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa panda na sauti ya baragumu. Shangilieni mbele za Mfalme, BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumupigie vigelegele Yawe mufalme wetu, mumushangilie kwa sauti ya baragumu na ngunga.