Psalms 98:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bahari na ivume na vyote vilivyomo; dunia na wote waishio ndani yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bahari na ivume na kila kilicho ndani yake, dunia na wote wanaoishi ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bahari na ivume na vyote viijazavyo, Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bahari na ivume na vyote vilivyomo; dunia na wote waishio ndani yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, dunia na wote wakaao ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, dunia na wote wakaao ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bahari na ivume na vyote viijazavyo, Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bahari na ivume na vyote vilivyomo; dunia na wote waishio ndani yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bahari na ivume nayo yote yaliyomo! Hata nchi pamoja nao wakaao humo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bahari na ivume na vyote viijazavyo, Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bahari ivume na vyote vinavyokuwa ndani yake, dunia na wote wanaoishi ndani yake.