Psalms 98:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shangilieni mbele ya Mwenyezi-Mungu, maana anakuja kutawala dunia. Atauhukumu ulimwengu kwa haki, atawatawala watu kwa uadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vyote na viimbe mbele za Mwenyezi Mungu, kwa maana yuaja kuhukumu dunia. Atahukumu dunia kwa haki na mataifa kwa haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi. Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa adili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shangilieni mbele ya Mwenyezi-Mungu, maana anakuja kutawala dunia. Atauhukumu ulimwengu kwa haki, atawatawala watu kwa uadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vyote na viimbe mbele za BWANA, kwa maana yuaja kuhukumu dunia. Atahukumu dunia kwa haki na mataifa kwa haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
vyote na viimbe mbele za bwana, kwa maana yuaja kuhukumu dunia. Atahukumu dunia kwa haki na mataifa kwa haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbele za BWANA; Kwa maana anakuja kuihukumu nchi. Atauhukumu ulimwengu kwa uaminifu, Na mataifa kwa adili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shangilieni mbele ya Mwenyezi-Mungu, maana anakuja kutawala dunia. Atauhukumu ulimwengu kwa haki, atawatawala watu kwa uadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atakapokuja ataihukumu nchi, atauhukumu ulimwengu kwa wongofu nayo makabila ya watu kwa unyofu.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbele za BWANA; Kwa maana anakuja aihukumu nchi. Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa adili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mushangilie mbele ya Yawe, maana anakuja kutawala dunia. Atahukumu ulimwengu kwa haki, atatawala mataifa kama vile inavyofaa.