Psalms 99:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu anatawala, mataifa yanatetemeka! Ameketi juu ya viumbe vyenye mabawa, nayo dunia inatikisika!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anatawala, mataifa na yatetemeke; anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, dunia na itikisike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ametamalaki, mataifa wanatetemeka; Ameketi juu ya makerubi, nchi inatikisika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu anatawala, mataifa yanatetemeka! Ameketi juu ya viumbe vyenye mabawa, nayo dunia inatikisika!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anatawala, mataifa na yatetemeke; anaketi kwenye kiti cha enzi katikati ya makerubi, dunia na itikisike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anatawala, mataifa na yatetemeke; anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, dunia na itikisike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ametamalaki, mataifa wanatetemeka; Ameketi juu ya makerubi, nchi inatikisika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu anatawala, mataifa yanatetemeka! Ameketi juu ya viumbe vyenye mabawa, nayo dunia inatikisika!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mfalme, kwa hiyo makabila ya watu hutetemeka. Yeye anakaa juu ya Makerubi, lakini nchi inayumbayumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ametamalaki, mataifa wanatetemeka; Ameketi juu ya makerubi, nchi inatikisika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anatawala, mataifa yanatetemeka! Ameikaa juu ya makerubi, nayo dunia inatikisika!