Psalms 99:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mkuu katika Siyoni; ametukuka juu ya mataifa yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana katika Sayuni ni mkuu, Naye ametukuka juu ya mataifa yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mkuu katika Siyoni; ametukuka juu ya mataifa yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni mkuu katika Sayuni, Naye ametukuka juu ya mataifa yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mkuu katika Siyoni; ametukuka juu ya mataifa yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mkuu mle Sioni, anayapita makabila yote ya watu kwa kutukuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA katika Sayuni ni mkuu, Naye ametukuka juu ya mataifa yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni mukubwa katika Sayuni; ametukuzwa kuliko mataifa yote.