Psalms 99:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote na walisifu jina lake kuu la kutisha. Mtakatifu ndiye yeye!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: yeye ni mtakatifu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walishukuru jina lake kuu la kuhofiwa; Ndiye mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote na walisifu jina lake kuu la kutisha. Mtakatifu ndiye yeye!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: yeye ni mtakatifu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: yeye ni mtakatifu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na walisifu jina lake kuu litishalo; Ndiye mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote na walisifu jina lake kuu la kutisha. Mtakatifu ndiye yeye!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na walishukuru Jina lako kubwa lililo la kuogopesha; aliye mtakatifu ndiye yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walishukuru jina lake kuu la kuhofiwa; Ndiye mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wasifu jina lake kubwa la kutisha. Yeye ni mutakatifu!