Psalms 99:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee mfalme mkuu, mpenda uadilifu! Umethibitisha haki katika Israeli; umeleta uadilifu na haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki, wewe umethibitisha adili; katika Yakobo umefanya yaliyo haki na sawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nguvu za mfalme nazo zapenda hukumu; Wewe ndiwe uliyeithibitisha adili; Ulifanya hukumu na haki katika Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee mfalme mkuu, mpenda uadilifu! Umethibitisha haki katika Israeli; umeleta uadilifu na haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme mwenye nguvu hupenda haki, wewe umethibitisha adili; katika Yakobo umefanya yaliyo haki na sawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki, wewe umethibitisha adili; katika Yakobo umefanya yaliyo haki na sawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme mkuu upendaye hukumu kwa haki; Umeiimarisha haki; Umefanya hukumu na haki katika Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee mfalme mkuu, mpenda uadilifu! Umethibitisha haki katika Israeli; umeleta uadilifu na haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguvu za mfalme huyu ni kupenda maamuzi yaliyo sawa. Wewe ndiwe uliyetoa unyofu wa kuyashikiza, nawe ndiwe uliyeamua kwa Yakobo maamuzi yaongokayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nguvu za mfalme nazo zapenda hukumu; Wewe ndiwe uliyeithibitisha adili; Ulifanya hukumu na haki katika Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee mufalme mukubwa, mupenda haki, umesimamisha usawa katika Israeli; umeleta sheria na haki.