Psalms 99:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; angukeni kifudifudi mbele zake. Mtakatifu ndiye yeye!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtukuzeni Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; yeye ni mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtukuzeni Bwana, Mungu wetu; Sujuduni penye kiti cha miguu yake; Ndiye mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; angukeni kifudifudi mbele zake. Mtakatifu ndiye yeye!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtukuzeni BWANA Mungu wetu, na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; yeye ni mtakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtukuzeni bwana Mwenyezi Mungu wetu, na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; yeye ni mtakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni penye kiti cha miguu yake; Ndiye mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; angukeni kifudifudi mbele zake. Mtakatifu ndiye yeye!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtukuzeni Bwana, Mungu wetu! Hapo, anapoiwekea miguu yake, mwangukieni! Aliye mtakatifu ndiye yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni penye kiti cha miguu yake; Ndiye mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Yawe, Mungu wetu; muiname uso mpaka chini mbele yake. Yeye ni mutakatifu!