Psalms 99:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alisema nao katika mnara wa wingu; waliyazingatia matakwa yake na amri alizowapa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alizungumza nao kutoka nguzo ya wingu; walizishika sheria zake na amri alizowapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika nguzo ya wingu alikuwa akisema nao. Walishika shuhuda zake na amri aliyowapa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alisema nao katika mnara wa wingu; waliyazingatia matakwa yake na amri alizowapa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alizungumza nao kutoka katika nguzo ya wingu; walizishika sheria zake na amri alizowapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alizungumza nao kutoka nguzo ya wingu; walizishika sheria zake na amri alizowapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema nao katika nguzo ya wingu. Wakashika shuhuda zake na amri aliyowapa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alisema nao katika mnara wa wingu; waliyazingatia matakwa yake na amri alizowapa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alisema nao akiwa amejificha katika wingu lililokuwa kama nguzo, wao wakayashika maneno, aliyowashuhudia, hata maagizo, aliyowapa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika nguzo ya wingu alikuwa akisema nao. Walishika shuhuda zake na amri aliyowapa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alisema nao katika nguzo ya wingu; walitimiza maagizo yake na masharti aliyowapa.