Psalms 99:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; abuduni katika mlima wake mtakatifu! Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ni mtakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtukuzeni Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, ni mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtukuzeni Bwana, Mungu wetu; Sujuduni mkiukabili mlima wake mtakatifu; Maana Bwana, Mungu wetu, ndiye mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; abuduni katika mlima wake mtakatifu! Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ni mtakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtukuzeni BWANA Mungu wetu na mwabudu kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana BWANA Mungu wetu ni mtakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtukuzeni bwana Mwenyezi Mungu wetu, mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana bwana Mwenyezi Mungu wetu ni mtakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni mkiukabili mlima wake mtakatifu; Maana BWANA, Mungu wetu, ni mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; abuduni katika mlima wake mtakatifu! Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ni mtakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtukuzeni Bwana, Mungu wetu! Mwangukieni mlimani kwenye utakatifu wake! Kwani Bwana Mungu wetu ni mtakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni mkiukabili mlima wake mtakatifu; Maana BWANA, Mungu wetu, ndiye mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Yawe, Mungu wetu; muiname kwa mulima wake mutakatifu! Yawe, Mungu wetu, ni mutakatifu.