Revelation 1:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Yohane ameshuhudia yote aliyoyaona kuhusu ujumbe wa Mungu na ushahidi wa Yesu Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye anashuhudia kuhusu kila kitu alichokiona, yaani neno la Mungu na ushuhuda wa Isa Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
aliyelishuhudia Neno la Mungu, na ushuhuda wa Yesu Kristo, yaani, mambo yote aliyoyaona.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
ambaye amesema kila kitu alichokiona. Ni ukweli alioambiwa na Yesu Kristo; ni ujumbe kutoka kwa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
naye Yohane, ameyasema yote aliyoyaona. Na hii ndio taarifa yake kuhusu ujumbe wa Mungu na ukweli uliofunuliwa na Yesu Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Yohane ameshuhudia yote aliyoyaona kuhusu ujumbe wa Mungu na ushahidi wa Yesu Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye anashuhudia kuhusu kila kitu alichoona, yaani, Neno la Mungu na ushuhuda wa Yesu Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye anashuhudia kuhusu kila kitu alichokiona, yaani, Neno la Mwenyezi Mungu na ushuhuda wa Isa Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
aliyelishuhudia neno la Mungu, na ushuhuda wa Yesu Kristo, yaani, mambo yote aliyoyaona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Yohane ameshuhudia yote aliyoyaona kuhusu ujumbe wa Mungu na ushahidi wa Yesu Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye aliyelishuhudia Neno la Mungu, hata ushuhuda wa Yesu Kristo, maana aliyaona yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
aliyelishuhudia Neno la Mungu, na ushuhuda wa Yesu Kristo, yaani, mambo yote aliyoyaona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yoane alishuhudia kwamba mambo yote aliyoona yanaelekea Neno la Mungu na ukweli ulioshuhudiwa na Yesu Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
aliyeshuhudia Neno la Mungu na ushuhuda wa Yesu Kristo, mambo yote aliyoyaona.