Revelation 10:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, yule malaika niliyemwona akisimama juu ya bahari na juu ya nchi kavu akainua mkono wake wa kulia juu mbinguni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha yule malaika niliyekuwa nimemwona akiwa amesimama juu ya bahari na juu ya nchi akainua mkono wake wa kuume kuelekea mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule malaika niliyemwona, akisimama juu ya bahari na juu ya nchi, akainua mkono wake wa kuume kuelekea mbinguni,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha nikamwona malaika aliyesimama juu ya bahari na nchi kavu akinyoosha mkono wake kuelekea mbinguni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha yule malaika niliyemwona akisimama juu ya bahari na juu ya nchi kavu akainua mkono wake wa kulia juu mbinguni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, yule malaika niliyemwona akisimama juu ya bahari na juu ya nchi kavu akainua mkono wake wa kulia juu mbinguni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha yule malaika niliyekuwa nimemwona akiwa amesimama juu ya bahari na juu ya nchi kavu akainua mkono wake wa kuume kuelekea mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha yule malaika niliyekuwa nimemwona akiwa amesimama juu ya bahari na juu ya nchi akainua mkono wake wa kuume kuelekea mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule malaika niliyemwona, akisimama juu ya bahari na juu ya nchi, akainua mkono wake wa kulia kuelekea mbinguni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, yule malaika niliyemwona akisimama juu ya bahari na juu ya nchi kavu akainua mkono wake wa kulia juu mbinguni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye malaika, niliyemwona, alivyosimama mguu mmoja baharini na mmoja nchini, akauelekeza mkono wake wa kuume mbinguni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule malaika niliyemwona, akisimama juu ya bahari na juu ya nchi, akainua mkono wake wa kuume kuelekea mbinguni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu yule malaika niliyemwona akisimama juu ya bahari na inchi kavu akainua mukono wake wa kuume juu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na yule malaika niliyemwona akisimama juu ya bahari na juu ya inchi akainua mkono wake kuelekea mbinguni,