Revelation 11:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakisema: “Tunakushukuru ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu, uliyeko na uliyekuwako! Maana umetumia nguvu yako kuu, ukaanza kutawala!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakisema: “Tunakushukuru, Bwana Mungu Mwenyezi, uliyeko na uliyekuwako, kwa kuwa umetwaa uweza wako mkuu na ukaanza kutawala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakisema, Tunakushukuru wewe, Bwana Mungu Mwenyezi, uliyeko na uliyekuwako, kwa sababu umeutwaa uweza wako ulio mkuu, na kumiliki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wazee wakasema: “Tunakushukuru wewe, Bwana Mungu Mwenyezi. Wewe ndiye uliyepo na ambaye daima umekuwepo. Tunakushukuru kwa sababu umetumia uweza wako mkuu na umeanza kutawala.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakisema: “Bwana Mungu Mwenye uwezo, uliyeko na uliyekuwako! Tunakushukuru, maana umetumia nguvu yako kuu ukaanza kutawala!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakisema: “Tunakushukuru ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu, uliyeko na uliyekuwako! Maana umetumia nguvu yako kuu, ukaanza kutawala!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakisema: “Tunakushukuru, BWANA Mungu Mwenyezi, uliyeko na uliyekuwako, kwa kuwa umetwaa uweza wako mkuu na ukaanza kutawala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakisema: “Tunakushukuru, bwana Mwenyezi Mungu, uliyeko na uliyekuwako, kwa kuwa umetwaa uweza wako mkuu na ukaanza kutawala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakisema, Tunakushukuru wewe, Bwana Mungu Mwenyezi, uliyeko na uliyekuwako, kwa sababu umeutwaa uweza wako ulio mkuu, na kumiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakisema: “Tunakushukuru ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu, uliyeko na uliyekuwako! Maana umetumia nguvu yako kuu, ukaanza kutawala!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na kusema: Twayavumisha mema yako wewe, Bwana Mungu Mwenyezi, Ndiwe aliopo naye aliyekuwapo! Umekwisha kuutwaa ufalme kwa uwezo wako mwingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakisema, Tunakushukuru wewe, Bwana Mungu Mwenyezi, uliyeko na uliyekuwako, kwa sababu umeutwaa uweza wako ulio mkuu, na kumiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakisema: “Tunakushukuru wewe Bwana wetu, Mungu Mwenye Uwezo, unayekuwa na uliyekuwa, kwa maana umetumia uwezo wako mukubwa nawe ukasimika ufalme wako.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakisema, Tunakushukuru, Bwana Mungu Mwenyiezi, ulioko, na nliyekuwako, kwa sababu umetwaa uweza wako ulio mkuu, ukamiliki.