Revelation 11:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao mashahidi wawili ni miti miwili ya mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya Bwana wa dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili vya taa visimamavyo mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wa dunia yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili visimamavyo mbele za Bwana wa nchi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mashahidi hawa wawili ni mizeituni miwili na vinara viwili vya taa vinavyosimama mbele za Bwana wa dunia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hao mashahidi wawili ni miti miwili ya Mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya Bwana wa dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao mashahidi wawili ni miti miwili ya mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya Bwana wa dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili vya taa visimamavyo mbele za Bwana Mungu wa dunia yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili vya taa visimamavyo mbele za Bwana Mwenyezi Mungu wa dunia yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili visimamavyo mbele za Bwana wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao mashahidi wawili ni miti miwili ya mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya Bwana wa dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao ndio ile michekele miwili na ile mienge miwili iliyosimama mbele ya Bwana wa nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili visimamavyo mbele za Bwana wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale washuhuda wawili ndiyo ile miti miwili ya mizeituni na vile vinara viwili vya kuwekea taa vinavyosimama mbele ya Bwana wa dunia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hawo ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili visimamavyo mbele ya Mungu wa inchi.