Revelation 12:18 — Compare Translations

6 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, likajisimamia ukingoni mwa bahari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Joka lilisimama ufukweni mwa bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, likajisimamia ukingoni mwa bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, likajisimamia ukingoni mwa bahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikapelekwa kusimama ufukoni penye bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na yule nyoka akasimama kwenye kivuko cha bahari.