Revelation 16:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Visiwa vyote vikatoweka, nayo milima haikuonekena tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila kisiwa kikatoweka wala milima haikuonekana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila kisiwa kikakimbia, wala milima haikuonekana tena.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila kisiwa kikatoweka na milima ikasawazika, hakukuwa milima yoyote tena.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Visiwa vyote vikatoweka, nayo milima haikuonekena tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Visiwa vyote vikatoweka, nayo milima haikuonekena tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila kisiwa kikatoweka wala milima haikuonekana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila kisiwa kikatoweka wala milima haikuonekana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila kisiwa kikakimbia, wala milima haikuonekana tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Visiwa vyote vikatoweka, nayo milima haikuonekena tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo visiwa vyote vikatoweka, hata milima haikuonekana tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila kisiwa kikakimbia, wala milima haikuonekana tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Visanga vyote vikatoweka na milima haikuonekana tena.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Killa kisiwa kikakimbia, na milima haikuonekana tena.