Revelation 16:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malaika wa tatu akalimwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, nazo zikawa damu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huyo wa tatu akakimimina kitasa chake juu ya mito na chemchemi za maji; zikawa damu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Malaika wa tatu akaimimina bakuli yake juu ya mito na chemichemi za maji. Mito na chemichemi za maji zikawa damu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malaika wa tatu akalimwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, nazo zikawa damu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malaika wa tatu akalimwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, nazo zikawa damu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huyo wa tatu akalimimina bakuli lake juu ya mito na chemchemi za maji; zikawa damu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa tatu alipokimwaga chano chake katika mito na katika chemchemi za maji, ndipo, nayo yalipogeuka kuwa damu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huyo wa tatu akakimimina kitasa chake juu ya mito na chemchemi za maji; zikawa damu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika wa tatu akamwanga kikombe chake katika mito na chemichemi za maji, na maji yao yakageuka damu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Malaika wa tatu akakimimina kichupa chake juu mito, na chemchemi za maji, zikawa damu.