Revelation 17:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika akaniambia pia, “Yale maji uliyoyaona pale alipokaa yule mzinzi: Ni makundi ya watu wa kila taifa, rangi na lugha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha yule malaika akaniambia, “Yale maji uliyoyaona yule kahaba akiwa ameketi juu yake ni jamaa, makundi ya watu, mataifa na lugha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaniambia, Yale maji uliyoyaona, hapo aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha malaika akaniambia, “Uliyaona maji ambako kahaba amekaa. Maji haya ni watu wengi, wa asili, mataifa, na lugha tofauti ulimwenguni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Malaika akaniambia pia, “Yale maji uliyoyaona pale alipokaa yule mzinzi, ni mataifa, watu wa kila rangi na lugha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika akaniambia pia, “Yale maji uliyoyaona pale alipokaa yule mzinzi: ni makundi ya watu wa kila taifa, rangi na lugha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha yule malaika akaniambia, “Yale maji uliyoyaona, yule kahaba akiwa ameketi juu yake ni jamaa za watu, makutano, mataifa na lugha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha yule malaika akaniambia, “Yale maji uliyoyaona yule kahaba akiwa ameketi juu yake ni jamaa, makutano, mataifa na lugha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaniambia, Yale maji uliyoyaona, hapo aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika akaniambia pia, “Yale maji uliyoyaona pale alipokaa yule mzinzi: Ni makundi ya watu wa kila taifa, rangi na lugha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaniambia: Yale maji, uliyoyaona, yule mgoni wa kike anayoyakalia, ndiyo makabila ya watu na makutano na wamizimu na misemo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaniambia, Yale maji uliyoyaona, hapo aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule malaika akaniambia tena: “Yale maji uliyoona pale yule kahaba anapoikaa, ni watu wa kila taifa, kila jamaa na kila luga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaniambia, Yale maji uliyoyaona, aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha.