Revelation 17:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Na yule mwanamke uliyemwona ndio ule mji mkuu ulio na mamlaka juu ya wafalme wa dunia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mwanamke uliyemwona ni ule mji mkubwa unaowatawala wafalme wa dunia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule mwanamke uliyemwona, ni mji ule mkubwa, wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwanamke uliyemwona ni mji mkuu ambao unatawala juu ya wafalme wa dunia.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Na yule mwanamke uliyemwona ndio ule mji mkuu unaowatawala wafalme wa dunia.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Na yule mwanamke uliyemwona ndio ule mji mkuu ulio na mamlaka juu ya wafalme wa dunia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mwanamke uliyemwona ni ule mji mkubwa unaotawala juu ya wafalme wa dunia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mwanamke uliyemwona ni ule mji mkubwa unaotawala juu ya wafalme wa dunia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule mwanamke uliyemwona, ni mji ule mkubwa, wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Na yule mwanamke uliyemwona ndio ule mji mkuu ulio na mamlaka juu ya wafalme wa dunia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena yule mwanamke, uliyemwona, ndio ule mji mkubwa ulio na ufalme wa wafalme wa nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule mwanamke uliyemwona, ni mji ule mkubwa, wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mwanamuke uliyemwona, ni ule muji mukubwa unaotawala wafalme wa dunia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na yule mwanamke uliyemwona, ndiye mji ule mkubwa, mwenye ufalme juu ya wafalme wa inchi.