Revelation 17:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa ameandikwa juu ya paji la uso wake jina la fumbo “Babuloni mkuu, mama wa wazinzi na wa mambo yote ya kuchukiza sana duniani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwenye paji lake la uso palikuwa pameandikwa jina la siri: Babeli Mkuu, Mama wa makahaba na wa machukizo ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikuwa na jina kwenye kipaji cha uso wake. Jina hili lina maana iliyofichwa. Hiki ndicho kilichoandikwa: BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA DUNIA.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alikuwa ameandikwa juu ya paji la uso wake jina la fumbo “Babuloni mkuu, mama wa wazinzi na wa mambo yote ya kuchukiza sana duniani.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa ameandikwa juu ya paji la uso wake jina la fumbo “Babuloni mkuu, mama wa wazinzi na wa mambo yote ya kuchukiza sana duniani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye kipaji chake cha uso palikuwa pameandikwa jina: “SIRI, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA DUNIA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwenye kipaji chake cha uso palikuwa pameandikwa jina: “siri, babeli mkuu, mama wa makahaba na wa machukizo ya dunia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, Babeli MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa ameandikwa juu ya paji la uso wake jina la fumbo “Babuloni mkuu, mama wa wazinzi na wa mambo yote ya kuchukiza sana duniani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena pajini pake palikuwa pameandikwa jina lisilofumbulika: Mji mkubwa wa Babeli, mama ya wagoni na ya machukizo ya nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa ameandikwa juu ya paji la uso wake jina lenye fumbo: “Muji mukubwa Babeli, mama ya washerati na machukizo ya dunia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na katiksi kipaji cha uso wake alikuwa na jina, limeandikwa, SIRI, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAILABA NA MACHUKIZO YA INCHI.