Revelation 18:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumfanyia matanga, maana hakuna mtu anayenunua tena bidhaa zao;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumwomboleza kwa sababu hakuna anunuaye bidhaa zao tena:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wafanya biashara wa nchi walia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa yao tena;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na wafanya biashara wa dunia watalia na kuhuzunika kwa ajili yake. Watahuzunika kwa sababu hakutakuwa hata mmoja wa kununua vitu wanavyouza;
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumfanyia matanga, maana hakuna mtu anayenunua tena bidhaa zao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumfanyia matanga, maana hakuna mtu anayenunua tena bidhaa zao;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wafanyabiashara wa dunia watalia na kuomboleza kwa sababu hakuna anunuaye bidhaa zao tena:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumwomboleza kwa sababu hakuna anunuaye bidhaa zao tena:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wafanya biashara wa nchi walia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa yao tena;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumfanyia matanga, maana hakuna mtu anayenunua tena bidhaa zao;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa saa moja umekwisha kuhukumiwa! Wachuuzi wa nchini watalia nao na kuomboleza kwa ajili yake, kwani hakuna tena atakayezinunua bidhaa zao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wafanya biashara wa nchi walia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa yao tena;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachuuzi wa dunia watalia na kuufanyia kilio kwa sababu hakuna mutu atakayewanunulia tena biashara zao
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na matajiri wa inchi walia na kumwombolezea kwa sababu hapana mtu anunuae bidhaa yake tena,