Revelation 18:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mdalasini, viungo, ubani, manemane, udi, divai, mafuta, unga na ngano, ng'ombe na kondoo, farasi na magari ya kukokotwa, watumwa wao na hata maisha ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
bidhaa za mdalasini na vikolezo, za uvumba, manemane, na uvumba wenye harufu nzuri, za divai, na mafuta ya zeituni, za unga mzuri na ngano; ng’ombe na kondoo; farasi na magari ya vita; na miili na roho za wanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mdalasini, na iliki, na uvumba, na marhamu, na ubani, na mvinyo, na mafuta ya mzeituni, na unga mzuri, na ngano, na ng'ombe, na kondoo, na farasi, na magari, na miili na roho za wanadamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na mdalasini, viungo, uvumba, marhamu, ubani, mvinyo, mafuta ya mzeituni, unga safi, ngano, ng'ombe, kondoo, farasi, magari na watumwa, ndiyo hata maisha ya watu. Wafanya biashara watalia na kusema:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
mdalasini, viungo, ubani, manemane, udi, divai, mafuta, unga na ngano, ng'ombe na kondoo, farasi na magari ya kukokotwa, watumwa wao na hata maisha ya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mdalasini, viungo, ubani, manemane, udi, divai, mafuta, unga na ngano, ng'ombe na kondoo, farasi na magari ya kukokotwa, watumwa wao na hata maisha ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mdalasini, vikolezi, uvumba, manemane, uvumba wenye harufu nzuri, divai, mafuta ya zeituni, unga mzuri na ngano, ng'ombe na kondoo, farasi na magari, watumwa, pia na roho za wanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bidhaa za mdalasini, vikolezi, za uvumba, manemane, na uvumba wenye harufu nzuri, za divai, na mafuta ya zeituni, za unga mzuri na ngano; ng’ombe na kondoo; farasi na magari; na miili na roho za wanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mdalasini, iliki, uvumba, marhamu, ubani, mvinyo, mafuta ya mzeituni, unga mzuri na ngano, ng'ombe na kondoo, farasi na magari, na miili na roho za wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mdalasini, viungo, ubani, manemane, udi, divai, mafuta, unga na ngano, ng'ombe na kondoo, farasi na magari ya kukokotwa, watumwa wao na hata maisha ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena dalasini na karafuu na manukato na uvumba na ubani na mvinyo na mafuta na unga mzuri na ngano na ng'ombe na kondoo na farasi na magari, nayo miili na roho za watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mdalasini, na iliki, na uvumba, na marhamu, na ubani, na mvinyo, na mafuta ya mzeituni, na unga mzuri, na ngano, na ng’ombe, na kondoo, na farasi, na magari, na miili na roho za wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mudalasini, vitu vyote vya kufukiza, marasi, ubani, divai, mafuta, unga nzuri, ngano, ngombe, kondoo, farasi, magari, watumwa na hata roho za watu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na mdalasini, na uvumba, na marhamu, na ubani, na mvinyo, na mafuta ya mzeituni, na unga mzuri, na nganu, na ngʼombe, na kondoo, na farasi, na magari, na miili na roho za wana Adamu.