Revelation 18:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafanyabiashara wanamwambia: “Faida yote uliyotazamia imetoweka, na utajiri na fahari vimekuponyoka; hutaweza kuvipata tena!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Watasema, ‘Yale matunda ambayo roho yako iliyatamani yamekoma. Utajiri wako wote na fahari yako vimetoweka, wala haviwezi kupatikana tena kamwe!’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na matunda yaliyotamaniwa na roho yako yamekuondokea; na vitu vyote vilivyo laini na vitu vya fahari vimekupotea; wala watu hawataviona tena kamwe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Ee Babeli, mambo mazuri uliyoyataka yamekuacha. Utajiri wako wote na vitu vya fahari vimetoweka. Hautakuwa navyo tena.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wafanyabiashara wanamwambia: “Faida yote uliyotazamia imetoweka, na utajiri na fahari vimekuponyoka; hutaweza kuvipata tena!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafanyabiashara wanamwambia: “Faida yote uliyotazamia imetoweka, na utajiri na fahari vimekuponyoka; hutaweza kuvipata tena!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Watasema, ‘Yale matunda ambayo roho yako iliyatamani yamekoma. Utajiri wako wote na fahari yako vimetoweka, wala haviwezi kupatikana tena kamwe!’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Watasema, ‘Yale matunda ambayo roho yako iliyatamani yamekoma. Utajiri wako wote na fahari yako vimetoweka, wala haviwezi kupatikana tena kamwe!’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na matunda yaliyotamaniwa na roho yako yamekuondokea; na vitu vyote vilivyo laini na vitu vya fahari vimekupotea; wala watu hawataviona tena kamwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafanyabiashara wanamwambia: “Faida yote uliyotazamia imetoweka, na utajiri na fahari vimekuponyoka; hutaweza kuvipata tena!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata matunda yako, uliyoyatunukia kwa roho yako, yamekutoka wewe, navyo vyote vilivyokunonesha na kuung'aza mwili vimekupotelea, hutaviona tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na matunda yaliyotamaniwa na roho yako yamekuondokea; na vitu vyote vilivyo laini na vitu vya fahari vimekupotea; wala watu hawataviona tena kamwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wale wachuuzi wanauambia muji ule: “Mazao mbalimbali uliyotamani sana kupata, yametoweka kwako. Na vitu vyote vya bei kali na vizuri vyenye kungaa vimekupotea, wala hautaviona tena.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na matunda yaliyotamaniwa na roho yako yamekuondokea; na vitu vyote vilivyo laini na vitu vya fakhari vimekuondokea; wala hulaviona tena kamwe.