Revelation 18:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafanyabiashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, watalalamika na kuomboleza,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wafanyabiashara waliotajirika kwa bidhaa hizo kutoka kwake watasimama mbali naye kwa hofu kubwa ya mateso yanayompata. Watalia na kuomboleza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wafanya biashara ya vitu hivyo, waliopata mali kwake, watasimama mbali, kwa hofu ya maumivu yake; wakilia na kuomboleza,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafanya biashara wataogopa mateso yake na watakaa mbali naye. Hawa ni wale waliotajirika kwa kumwuzia vitu hivyo. Watalia na kuhuzunika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wafanya biashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, watalalamika na kuomboleza,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafanyabiashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, watalalamika na kuomboleza,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wafanyabiashara waliotajirika kwa bidhaa hizo kutoka kwake watasimama mbali naye kwa hofu ya mateso yanayompata. Watalia na kuomboleza wakipiga kelele wakisema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wafanyabiashara waliotajirika kwa bidhaa hizo kutoka kwake watasimama mbali naye kwa hofu kubwa ya mateso yanayompata. Watalia na kuomboleza wakipiga kelele wakisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wafanya biashara ya vitu hivyo, waliopata mali kwake, watasimama mbali, kwa hofu ya maumivu yake; wakilia na kuomboleza,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafanyabiashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, watalalamika na kuomboleza,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wachuuzi wa vitu hivyo waliovipatia mali nyingi kwake watasimama mbali kwa ajili ya kuyaogopa maumivu yake wakilia na kuomboleza
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wafanya biashara ya vitu hivyo, waliopata mali kwake, watasimama mbali, kwa hofu ya maumivu yake; wakilia na kuomboleza,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachuuzi waliojitajirisha na biashara za muji ule, watasimama kwa mbali kwa ajili ya woga kwa kuona mateso yatakayoupata. Watalia na kufanya kilio,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wafanyi biashara ya vitu hivyo, waliopata mali kwsike, watasimama mbali, kwa khofu yii maumivu yako, wakilia na kuomboleza,